
Ufunguzi wa Taasisi ya ZCET
by
122 122 people viewed this event.
Tunamshukuru Hon. Makamo wa Pili wa Zanzibar na Waziri wa Elimu kwa kutufungulia Taasisi yetu ya ZCET yenye maudhui ya kufundisha masomo ya Utalii ili
Vijana waweze kupata Ajira na Kujiajiri .
Kwa Pamoja Tunaweza