
Ziara ya Turky kuwantembelea wazee na Wagonjwa
by
161 161 people viewed this event.
Tukiambatana na Mh Mwakilishi na Madiwani Nyumba kwa Nyumba kuwatembelea Wazee na wagonjwa. Ndani ya Jimbo la Mpendae tunaishi kama familia Mapenzi na Tabasamu kwa wingi. Kila Nyumba hupata sadaka ya Ramadhani bila kujali itikadi,rangi au dini